
We Kula Tu Binamu Sehemu 1 Kwa miaka mingi, familia yetu ilikuwa imegawanyika kwa sababu ya kazi na maisha ya mjini. Mimi nilizaliwa Dar es Salaam, lakini kila likizo, nilikuwa nikipenda kwenda kijijini kwa bibi, Kijiji hicho kilikuwa pembezoni mwa milima ya Lushoto. Siku moja, mama aliniambia kuwa msimu huu wa likizo hatungeenda peke yetu. "Binamu zako wa Tanga nao watakuwepo," alinitangazia kwa furaha. Sikutilia maanani sana, kwa sababu tangu utoto sikuwa nimewahi kuwa na ukaribu nao lakini sasa nilikuwa kijana wa miaka ishirini na mbili, na dunia yangu ilikuwa imejaa hisia tofauti. Tulipofika kijijini, maisha yalirudi polepole: kunywa maji
No comments:
Post a Comment