WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA     Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa hongera kwa kuwa mshindi kwenye mashindano ya kufanya mtihani, celena akashangaa nakuwaambia walimu kuwa " mbona Mimi sijafanya mtihani ,? Walimu wakaanza kumcheka na kumwambia kuwa ulifanya mtihani , japo Celena alibisha lakini alipewa mtihani wake na kweli aliangalia akakuta mwandiko umefanana na wake kabisa ,akawaza nakujua kuwa kwa vyovyote atakuwa ni yule mtoto aliefanana nae, kwa akili ya utoto aliyokuwa nayo akawaza namna ya kumtafuta mtoto huyo mpaka ampate , Siku zilipita huku Celina akiwahi kutoka shule

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...