NASEMA KWA MAMA 38,39,40 *38*

NASEMA KWA MAMA 38,39,40  *38*

NASEMA KWA MAMA 38,39,40 *38* """ Dunia inamambo jamani.. Huyu mzee mbona ni yule boss wa Peace Ocean jamani.. Katoka wapi na huyu mwanamke.. Dada mmoja aliongea huku wanaendelea kushangaa.. """ Ndio mmemaliza kutoa msaada au mnatufanya maonyesho hapa.. Waswahili watu wa ajabu sana.. Badala tuvute kututoa humu nyie mnatumulika na tochi za simu zenu kutushangaa.. Aliongea Lidya kwa hasira sana akionyesha kwamba kile kitendo hakikumfurahisha hata kidogo.. Watu walibaki wakishangaana tu.. Teja mmoja alitoa shati lake lililo choka kiasi fulani na kumpa Lidya aishike ili atoke njee.. Lidya alishika na kutoka njee.. Baada ya yeye kutoka., alimpa na yule

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...