
Story……………….MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 26 Mtunzi…………….SIMULIZI ZA ZOOPER Whatsap………....0613083801/0748697173 Umri………………..18+ ENDELEA......... Palikucha na ulikuwa ni mda wa kwenda nyumbani, niliondoka na nilimkuta Rashidi akiwa nyumbani huku akiwa hana dalili za kwenda kazini siku hiyo, Rashidi aliniuliza. "Nimepata taarifa kuwa yule malaya amehamia kwenye hospital yenu!?" "Malaya yupi!?" ilibidi nimuulize ili anifafanulie vizuri. "Namuongelea Nasir" Rashidi alinijibu. "Ndio kahamia ninapofanyia kazi" nilimjibu na Rashidi aliniambia kuwa atafanya juu chini ili aweze kunitafutia nafasi ya kazi sehemu nyingine. "Fanya utakavyoona ni sahihi" nilimwambia maana ata mimi nilikuwa nimeshaanza kuchoshwa na changamoto nilizokuwa nikikutana nazo kutoka kwa Dr David na Nasir. "Alafu leo nimeamua kubaki
No comments:
Post a Comment