
ALAANIWE MUUZA CHIPS CHUONI (USINIBANE JAMANIII) MTUNZI ????Dr(Dkt) Kangaroo Nyumbu UMRI ????ZAIDI YA MIAKA 18 SEHEMU YA 04 ???????????????? nilifungua mlango kabla sijaingia Kuna mdada akanishika mkono,ni mpangaji mwenzangu Mdada(Ruth)....jirani pole naona unamaumivu hapo vp umeenda hospital? Omary.... akhsante na kuhusu hospital Wala sijaenda na alafu sio kitu SS kama wanaume vitu vidogo vidogo kama hivi tunapotezea TU Mdada(Ruth)....naitwa Ruth na ww nani jirani? Omary....naitwa omary Ruth....sawa kama hautaki kwenda hospital ????????????????Kisha akaondoka na mm nikaingia ndani ila ukweli ningeenda hospital SEMA Sina kitu yaani ndani Nina mia Tisa TU na kazi sijapata,nikiwa nimeishika hiyo mia Tisa na nimekaa kwenye
No comments:
Post a Comment