
?WE KULA TU BINAMU ?EPISODE 7 ? ?Nikajikuta bado nimenasa kwenye ule mbuyu, kichwa chini miguu juu kama ndizi zilivyopangwa sokoni, huku nahema sana yaani jamani ata kujinasua nashindwa mgongo wangu jamani ?Aaaaaaah!!!!! naugulia maumivu sana .... ? ?Nilikuwa natafuta hewa, lakini hewa ndio ilikuwa inanitafuta, maana kiuno changu kilikuwa kimenin'ginia juu kujinasua siwezi yaaani daah ? ?Mara nikasikia sauti ya Asha ikikaribia, ?“Eeeh! Mungu wangu! Binamu nink hicho hapo kwenye mbuyu ?” ?Nikajifanya jasiri, nikiwa bado miguu juu nikahemea, ?“Hapana binamu, nafanya mazoezi ya yoga !” ?"Mmmmmh yoga huku mbuyuni duuh " ? ?Asha akacheka mpaka ndoo ya maji
No comments:
Post a Comment