
KWANINI NISIWAPE WAKATI HAWAONDOKI NACHO MTUNZI; ZAMRATAVMBWANA EPISODE 2 ?Basi wote Tuliangaliana Usoni Babu Shani aliniambia nivae upesi na kweli nilivaa upesi na alinitoa mlango wa Uwani huku na yeye akiwa kajiweka sawa na kujifanya anasoma gazeti toka mda nilikimbia upesi na kwenda Nyumbani nilipofika mbele niligundua kama niliacha viatu ! Toba jamani umalaya huu basi ilibidi niondoke hivo hivo nyumbani Bibi Shani alivyofika tu alimuuliza Mumewe kama kunamgeni yeyote aliekuwa amefika "aaa. Ap.! Kabla ajajibu Babu Shani ilisikika sauti ya mjukuu wake Shani akiuliza "Bibi kuna viatu huku nje Sijui hata vya nani ? ?"Viatu ! ?"Ndiyo ! Bibi
No comments:
Post a Comment