?WE KULA TU BINAMU ?EPISODE 6

?WE KULA TU BINAMU ?EPISODE 6

?WE KULA TU BINAMU ?EPISODE 6 ? ?"Bibi, bibi mambo gani ..!" Nilisema huku bado nimeshika shavu lililokuwa linawaka moto kama sufuria ya makande. ? ?Muda huo nayumba yaani huwezi amini bakora ililala yeye kwa ule mkofi duuuh mpka sahizi network hazisomi yaani kama sisikii vizuri hivi . Nilisikia mpaka haja kubwa ilinishika ....masikio kuna kale kasauti " NZIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII" ? ?Bibi hakutaka hata kusikia, akawa ananiandama na kunisema ?"Wewe! Kijana wa siku hizi huna adabu kabisa! Unaangalia wanawake badala ya kufanya usafi, pumbavu mkubwa!" ? ?Nilibaki nimesimama, nashika kitambaa upande mmoja na shavu upande mwingine. ?Nyuma ya pazia, Asha alikuwa

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...