WE KULA TU BINAMU EPISODE 5

WE KULA TU BINAMU  EPISODE 5

WE KULA TU BINAMU EPISODE 5 Baada ya lile tukio la kuchungulia kwa dirisha na kuanguka kama gunia la viazi lililolowa maji, nilijua leo napaswa kuwa mwanajeshi wa kimya kimya niliinuka nakuondoka ... Sikutaka kuleta ushahidi wowote wa uhalifu wangu wa macho. Nilitembea nilitembea huku nachechemea lakini kilichoniumia zaidi ni kiuno na mguu wa kulia nilikuwa nauburuza ...... Siku hiyo, nyumba ilikuwa na shughuli kibao. Wazee walikuwa bize na pilika za hapa na pale. Vijana tulipangiwa kufanya usafi wa uwanja. Lakini mimi nilienda na kauli yangu ni ile ile " kwenye asha kuna mimi na kwenye mimi kuna asha "

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...