
WE KULA TU BINAMU EPISODE 2 Baada ya kunong’ona yale maneno, huwezi amini... Asha alianza kuona aibu ya ajabu. Alishusha macho chini, akang’ata vidole vyake vya mkononi kwa aibu, kana kwamba hakutegemea kuzungumza hivyo. Tukabaki kimya kwenye zile bembea za miti, zikitikiswa taratibu na upepo wa jioni uliokuwa ukivuma kutoka mashariki. Nilimtazama kwa makini... alikuwa kavalia kasket fulani, kadogo kidogo, ambako kalimuonyesha mapaa yake meupe ki. Jamani...! Sio powa kabisa, alikuwa amependeza kupita maelezo mchanganyiko wa utoto na utu uzima uliokuwa unachanua taratibu ndani yake. . Muda huo wote alikuwa anaminyaminya vidole vyake kwenye mapaja, na kila aliponiangalia kwa haraka,
No comments:
Post a Comment