WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,, 6

WATOTO MAPACHA   Sehemu ya ,,, 6

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,, 6 Turudi kwa kina Celena, Celena alikuwa hana shida kabisa , yaani maisha ya nyumbani kwao ni raha mustarehe , kila kitu anachotaka anapewa ,na yeye anajua pale ndo nyumbani na wazazi wake ndio hao , yaan hakuwa na wasiwasi kabisa , Celena alikuwa anasoma shule ya kifahari sana tena yenye watoto wenye vipaji maalum , Shule hiyo ilikuwa kila baada ya miez mi 3 inafanya mashindano ya mitihani kati ya shule hiyo na shule nyingine itakayo kubali kushindana ,na mtoto atakaekuwa wakwanza anapewa zawad, Sasa siku hiyo Celina alivaa nguo zake za shule akamuaga

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...