WATOTO MAPACHA , Sehemu ya ,,,,,. 5

WATOTO MAPACHA ,  Sehemu ya ,,,,,. 5

WATOTO MAPACHA , Sehemu ya ,,,,,. 5 Mama stefano moyo ulilia PAAAH,,,!! Akajishika kifuani na kujiuliza kwanini hali kama ile inamtokea , Kule nnje stefano na Celina wakat wanabishana baba Stefano alikuwa anarud kutoka kazini ,akapaki gari lake dogo Toyota Mack 11 Wakati anashuka macho yote yalikuwa kwa Celina , Alijiuliza mbona huyu mtoto kafanana na mke wake , ""Shikamoo baba ,,"" Stefano alimsalimia baba yake , "Malhabaa ,,"" Baba Stefano aliitikia huku bado macho yakiwa kwa Celina , "" Shikamoo baba Stefano "" Celina nae alisalimia , "Malhabaa bint hujambo ,," "Sijambo ,,"" Celina akajibu, ""Celina ona gari ya

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...