KISURA WA DAMPO 11 (nilizaliwa na kichaa nikazaa na ceo) 11-----15

KISURA WA DAMPO 11 (nilizaliwa na kichaa nikazaa na ceo) 11-----15

KISURA WA DAMPO 11 (nilizaliwa na kichaa nikazaa na ceo) Mwandishi HURU MEDIA Basi akaagiza chakula na wakati huo sikuwa na hamu ya kula kabisa yaan, basi nikawa nasikia raha kumuona namna ambavyo anatafuna chakula, akaniuliza “ vipi nikuletee na wewe chakula?... “ hapana ww kula tu mimi nimeshiba, nikajibu na mack akataka kuagiza kitu ila nalipoona nimekazia kuwa sitaki kula akakubali, akala pale na baada ya hapo muda ulikuwa umeshaenda, akanichukua tukapanda kwenye gari na safar ya kwenda kisongo ikaanza,… Tulipanda ndege ndogo ambayo ilikuwa inabeba watu sita tu, ila kabla sijapanda ndege nikaanza kuusikia ule mngurumo sijui wasiwasi

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...