
WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,,,,,4 Celina na stefano walijikuta wanakaa dawati moja , Tatizo la stefano ukiacha utundu aliokuwa nao alikuwa hana akili kabisa ,yaani mwalimu alikuwa anafundisha weee lakini stefano haelewi kitu . Wazazi wa stefano walijitahid sana kumfundisha yaan kila akirudi kutoka shule mama yake anamfundisha na kumpa maswali ya hapa na pale ili aelewe lakin wap. Tokea kipindi kile celina aonane na celena ,celena alikuwa hana raha kabisa , Mala nyingi celena alikuwa anatoroka kwao na kuja mpaka eneo alilomuona celina na kuzunguuka eneo hilo akizani atamuona celina lakini wap ,,Celena akaona inawezekana ni kweli siku ile
No comments:
Post a Comment