
WATOTO MAPACHA Sehemu ,,,,, 3 Mama celena AKATOA MACHO,, Akataka kumfuatilia lakin celina akawa amepotelea vichochoroni , "" Unamfahamu ,,"" Mama celena alimuuliza mwanae, ""Hapana ndo kwanza nimemuona leo ,,"" Celena alijibu . ""Yule atakuwa ni jini ,na ukiona kitu cha ajabu kama kile usipende kukifuata sawa mwanangu ""? Mama celena alimwambia mwanae huku akimshika mkono na kuondoka eneo hilo . Pamoja na kudanganywa na mama yake kuwa yule hakuwa mtu bali nijini amejigeuza na kufanana nayeye lakini celena hakuamini ,aliendelea kuwaza tu , Mama celena yeye aliamini yule mtoto aliefanana na mwanae ni jini , Celina alivyoachana na celena
No comments:
Post a Comment