
Story :: watoto MAPACHA Sehemu ya ,,,,,,2 Walioifatilia mpaka mwisho wanajua mziki wa story hii , na utaipata yote kwa elfu moja tu, Ilikuwa yapata muda wa saa 8 au 9 za usiku kichaa mmoja anaeitwa Celina alikuwa kando ya dampo moja ameuchapa usingizi , Gafra akastuka nakuangaza kule na huku na kuwaona watu wawili wanatupa kitu kwenye dampo hilo na kutoweka upes, Kutokana na njaa yake celina akahisi watu wale wametupa mabaki ya vyakula akakimbilia upes Lakini alipofika akashangaa kukuta nikatoto kametupwa tena hakana hata nguo , Pamoja na uchizi wa celina aliweza kugundua kuwa yule ni mtoto ,akamfunga
No comments:
Post a Comment