
,, WATOTO MAPACHA Sehemu ya """""1 Barozi wa Tanzania nchin Colombia Mr Benson alikuwa anawaza namna ya kumwambia mkewe atakapoamka ,kuwa mtoto wao amefariki. Kwa mala ya tatu mfululizo mkewe akipata ujauzito hiaribika ,au akifikisha muda wa kujifungua basi mtoto huyo hufariki hata kabla hajakaa hata lisaa limoja , Na ndivyo ilivyotokea siku hiyo . Mr Benson akapata wazo akawafuata manesi wa hospitali hiyo na kuwaambia atawapa milioni 20 cash ,wakimuibia mtoto hospitalin hapo na apewe mkewe kabla hajaamka yaani akistuka tu amkute mtoto pembeni yake, Manes wawili wakakubali kufanya dili hilo , Siku hiyo hospitalin hapo palikuwa na mama
No comments:
Post a Comment