
USHAURI KWAKO WEWE AMBAE UMEUMIZWA NA MAPENZI. ??USHAURI : Baadhi ya kauli unazopaswa kuziepuka unapokuwa umeumizwa na kujeruhiwa moyo wako. 1. Usiseme, "sitaoa/kuolewa tena " maana katika maisha ndoa inayo nafasi yake kukusaidia kutimiza ndoto za maisha yako, ndiyo maana mungu akasema "si vyema mtu awe peke yake na wawili ni bora kuliko mmoja "kuoa /kuolewa ni nguzo muhimu inayoshikilia maono yako. 2.Usiseme, "hautamsaidia tena mtu ",kwa sababu uliowasaidia wamekujeruhi. Kwa sababu wapo watu wema na wenye fadhili wanaouhitaji msaada wako ambao Mungu anapitisha maishani mwako uweze kuwafikia huko walipo, kuwafungia mlango ni sawa na kuwafungia mungu mlango. 3. Usiseme
No comments:
Post a Comment