UNAPENDA UREMBO KUWA MAKINI KATIKA UPAKAJI WA LIPSTIK

UNAPENDA UREMBO KUWA MAKINI KATIKA UPAKAJI WA LIPSTIK

UNAPENDA UREMBO KUWA MAKINI KATIKA UPAKAJI WA LIPSTIK Kuna baadhi ya wanawake hupaka lipstic kwa kuikoleza kiasi kwamba unaonekana kituko badala ya kupendeza Pia zingatia nguo unayovaa kuendana na rangi ya lipstick unayopaka lipstick nyekundu huwapendeza sana watu weupe kuna wasiopenda kupaka lipstik hupendelea lipshine zaidi lakini kama wewe unapenda lipstic kuwa makini katika kuchagua rangi ikiwezekana tafuta ushauri kwa wataalamu

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...