SIMULIZI YA MAMA MDOGO SURA YA .....13..... KITABU MALIPO NI HAPAHAPA MTUNZI ADELA DALLY KAVISHE ILIPOISHIA Baada ya maongezi hayo Goodluck aliaga na kuondoka kuelekea kwao akimwacha Jamal akiwa na mawazo mengi kuhusu mama yake mdogo. Siku iliyofuata yapata saa nne asubuhi wakati babake akiwa kazini Jamal alimfuata mama yake mdogo sebuleni ili azungumze naye kuhusu swala la kupekekwa shule. Alipoingia tu alimkuta amekaa katika sofa akifuma kitambaa. INAPOENDELEA: “Habari za asubuhi mama mdogo? Alisalimia Jamal. “Nzuri Jamal umeamkeje? Ah! Salama kabisa” Alijibu Jamal. “Vipi Jamal mbona unaonekana mnyonge sana, unaumwa?”Aliuliza mama mdogo. “Hapana mama mdogo, nina shida na wewe.”
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7
WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...
-
http://dlvr.it/TDN79P
-
ALAANIWE MUUZA CHIPS CHUONI (USINIBANE JAMANIII) MTUNZI ????Dr(Dkt) Kangaroo Nyumbu UMRI ????ZAIDI YA MIAKA 18 SEHEMU YA 04 ????????????????...
-
Story……………….MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 26 Mtunzi…………….SIMULIZI ZA ZOOPER Whatsap………....0613083801/0748697173 Umri………………..18+ ENDELEA..........
No comments:
Post a Comment