UJUMBE WANGU WA LEO USIJARIBU KUTUMIA MUDA WAKO MWINGI KUFIKIRIA MAMBO MABAYA AMBAYO YALISHAPITA.

UJUMBE WANGU WA LEO USIJARIBU KUTUMIA MUDA WAKO MWINGI KUFIKIRIA MAMBO MABAYA AMBAYO YALISHAPITA.

Kuna baadhi ya watu huwa na tabia ya kufikiria mambo mabaya ambayo yalishapita kwa kufanya hivyo fahamu kwamba unaharibu mambo mengine ya wakati uliopo, ni vyema kusahau mabaya yaliyopita unatakiwa kujikubali na uache kufikiria mawazo mabaya ili ufungue ukurasa mpya.KWANI JAMBO JEMA AU BAYA LINAJENGWA NA MAWAZO YAKO PIA.

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...