TAMUUUUU KAMA CHOCOLATE ???????? SEHEMU YA 01

TAMUUUUU KAMA CHOCOLATE ????????  SEHEMU YA 01

TAMUUUUU KAMA CHOCOLATE ???????? SEHEMU YA 01 Nikiwa ndio mara yangu yakwanza kuingia ofisini yaani ndio nimeajiliwa tuu hakika nilikutana nawatu wakila aina pale ofisini???????????? Walikuwa kilammoja na tabia zake wasichana niwarembo haswa na wanamagari yao???????? Mimi hata baiskeli sina nilikuwa najiona waajabu wahadhi ya chini mnoo???????? Basi nilipangiwa kitengo changu cha kazi nikafunga moyo sikujali mtu nilipiga kazi bila kumtizama mtu yeyeto???????????? Walinipenda kwakuwa nilikuwa nikitumwa na mtu yeyote sijawahi kumgomea ???????? Wengine walikuwa wananipa kazi zao nawafanyia sijawai hata kuwakatalia ???????? Japo kuwa walinidharau na kuniona kama house girl ila sikujali walinituma tuma hovyo wala sikujali.. Nilikuwa naenda

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...