
*MY CHUNUN* 01 Naitwa Caren.. Nilipo matokeo yametoka kwenda chuo nimefaulu na nina kapingwa chuo dar..Wazazi na ndugu zangu walifurahi sana kuona nimefauru maana kwenda chuo c mchezo bhn.. Baas baada ya kama wiki mbili nikajiandaa na kufunga safari kwenda zangu dar ili kuanza chuo chuo cha IFM kigambonii.. Nilipofika pale nilikaa hostel maana nilikua mgeni sijui kitu chochote.. ?????? Haya sasa maisha ya chuo yameanza na mm nimeshazoea chuo ila sina marafiki na kule nyumban niliambiwa nikifika dar niwe makini ila sikujua umakini kiaje..niliambiwa dar huchelewi kufa na nikaona kweli maana kuna magari mengi htr ukiwa mzembe unakufa dkk
No comments:
Post a Comment