
"1__5" SITOMWACHA HATA IWEJE?? EP "01" Nikiwa ndio malayangu yakwanza kuingia hofisini yaani ndio nimeajiliwa tuu hakika nilikutana nawatu wakila aina pale ofisini Walikuwa kilammoja na tabia zake wasichana niwarembo haswa na wanamagari Mimi hata baiskeli sina nilikuwa najiona waajabu wahadhi ya chini mnoo Basi nilipangiwa kitengo changu cha kazi nikafunga moyo sikujali mtu nilipiga kazi bila kumtizama mtu yeyeto Walinipenda kwakuwa nilikuwa nikitumwa na mtu yeyote sijawahi kumgomea Wengine walikuwa wananipa kazi zao nawafanyia sijawai hata kuwakatalia Japo kuwa walinidharau na kuniona kama house girl hivi walinituma tuma hovyo Nilikuwa naenda kwa furaha sijawahi kumnunia mtu au kumchukia mtu
No comments:
Post a Comment