MATONGOTONGO MACHONI CHANZO CHA TATIZO LA MTOTO KUTOA

MATONGOTONGO MACHONI  CHANZO CHA TATIZO LA MTOTO KUTOA

MATONGOTONGO MACHONI CHANZO CHA TATIZO LA MTOTO KUTOA MATONGOTONGO MACHONI PAMOJA NA TIBA YAKE Tatizo hili huweza kumpata mtoto mara tu baada ya kuzaliwa na kadri anavyokuwa pia huweza kupata shida hii. Hivo basi hakuna mda maalum au umri maalum wa kupatwa na shida hii, Mtoto mwenye umri wowote huweza kupatwa na shida hii ya macho kutoa matongotongo yenyewe. Kitaalam ni kwamba endapo macho yatatoa matongo tongo yenyewe, basi hiyo ni ishara kwamba kuna kitu hakiko sawa ndani ya jicho lako, au kwa lugha nyingine kuna tatizo katika jicho lako. CHANZO CHA TATIZO LA MTOTO KUTOA MATONGOTONGO MACHONI NI PAMOJA

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...