
SIMULIZI; MIMI KWANGU HACHOMOKI, CHOCHOTE NINACHOTAKA ANAFANYA! Wakati mmoja, kuna dada mmoja alikua ana mdate rafiki yangu, walikua wanapendana sana, labda niseme dada alikua akimpenda sana jamaa. Kale kamdada lakikuaga na nyodo sana, na kama kawaida yangu mimi huwa sina mbwembwe, napenda kuonekana kama fala flani, nakupa nafasi ya wewe kunidharau na kama nikikuona una nyodo nakua fala kabisa, ndiyo nilivyo ila mara nyingi huwa nikiona mtu anaharibikiwa nampa ushauri wa maana ambao atashangaa huyu hi huyu huyu Iddi ninayemjua au kuna mwingine. So huyu dada niliona kama anapotea, halafu kalikua kadogo (si kiumri bali kupevuka) alikua anampenda sana jamaa,
No comments:
Post a Comment