RUNGU LA KIPOFU 21.

RUNGU LA KIPOFU 21.

RUNGU LA KIPOFU 21. ENDELEA........... Na kushuka kitandani na kuvaa nguo zake na baada ya kumaliza akatoka chumbani na kumfata tena mama yake "Mama!" "Nini Mwajuma!" "Siwezi kuvumilia nataka kumuona Kaka Juma!" "Unamatatizo gani mwanangu mbona unakuwa mgumu kuelewa au huyo kaka yako kakupa nini!?" "Nataka tu kumuona!" "Aaaaah unaelekea kunikera sasa, nimesema utaenda kesho au jumamosi full stop Mwajuma!" Mama Mwajuma alishikilia msimamo wake mpaka Mwajuma mwenyewe akashindwa cha kufanya. Huku kwa Queen na Tedy bado walikuwa na kesi nzito ya mwanaume aliyefia kwenye chumba chao baada ya kuzagamuana kwa mda mrefu na Queen, ni siku tatu zilipita wakiwa

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...