SIMULIZI: LUCKY (SIHITAJI KURUDI NILIKOTOKA) SEHEMU YA 01

SIMULIZI: LUCKY (SIHITAJI KURUDI NILIKOTOKA)  SEHEMU YA 01

SIMULIZI: LUCKY (SIHITAJI KURUDI NILIKOTOKA) SEHEMU YA 01 Mwaka mmoja ukiwa umepita tokea binti mwenye umri wa miaka 24 Lucky ajiunge na chuo kikuu cha Dar es salam ( University of Dar es salam ) maarufu kama UDSM. Marafiki zake aliokuwa anakaa nao chumba kimoja katika vyumba vya kulala wanafunzi chuoni hapo, waliojulikana kwa majina ya Mariam, Tunu na Amina. Asubuhi na mapema ya siku ya wikiend ya jumamosi waliamua kumkalisha chini rafiki yao huyo kwa ajili ya kuongea naye mambo flani mawili matatu kutokana na jinsi walivyokuwa wanaishi naye katika hali ya unyonge na kuonekana hapendi kushirikiana na mtu

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...