
Ufafanuzi Wa 'Aqiyqah Anayofanyiwa Mtoto Mchanga Katika Sunnah ‘Aqiyqah maana yake ni kukata. Na katika sharia ni mbuzi anayechinjwa kwa ajili ya mtoto aliyezaliwa anapofika siku ya saba tokea kuzaliwa kwake. ‘Aqiyqah ni Sunnah iliyotiliwa mkazo kwa mwenye uwezo nayo. Na hili ni jukumu la wazazi kumfanyia mtoto wao kwa kauli ya Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) “Kila mtoto amefungika na ‘Aqiyqah yake, itachinjwa kwa ajili yake siku ya saba na atapewa jina, na atanyolewa kichwa chake” (Ahmad na An-Nasaaiy). Kwa ajili ya shughuli hiyo ni lazima achinjwe mnyama anayefaa kuchinjwa kwa ajili ya Udh-hiyah kwa kuzingatia
No comments:
Post a Comment