
SIMULIZI : KISURA WA DAMPO???????? (nilizaliwa na kichaa, nikazaa na ceo) Mwandishi... HURU MEDIA Page Bahari ya simulizi SEHEMU YA 1 Maisha ni fumbo ambalo hakuna binaadamu hata mmoja ambae alishawah kufikiria kama ataweza kulifumbua, kwa maisha ambayo nilikuwa naishi ni dhahiri nilijua kuwa maisha yangu yote nitakuwa ni mtoto wa mtaani maana nimezaliwa mtaani, kwa maana mama yangu alikuwa ni kichaa kabisa, maana kuanzia amenizaa sijawah kumsikia hata mara moja akipongea zaidi ya kucheka cheka tu, yaan kuna muda nahisi kama alibakwa na baada ya kubakwa akapewa mimba yangu, hivyo kuanzia Napata akili nilikuwa mtaani tu, nililelewa na mtaa.
No comments:
Post a Comment