
?NASEMA KWA MAMA SEHEMU YA 17, 18, Endeleanayo..... * * "" "" Mmmmhhh Frenk nae jamani... Aliwaza Lidya kimya kimya na kujikuta anacheka kwa Sauti.... Alishika mdomo kujizuia na kuinuka kukimbialia ndani kwake... "" "" Jamani huyu mama atahisi nimemdharau... Aliongea mwenyewe akiwa chumbani na kuinuka ili arudi tena sebuleni... Alijizuia sana ili akamuombe radhi mama yake Dayana lakini alishindwa na kujikuta anacheka sana tena.... "" "" "Lidya hembua acha utoto.... Aliongea mama yake Dayana na kurudisha zile picha kwenye Begi lake... " "" "" Nisamehe mama.. Hujui tu nilivyo mzoea Frenk tukiwa shule, nilikuwa na matani nae sana.. Nilivyooana
No comments:
Post a Comment