
SIMULIZI : KISURA WA DAMPO???????? (nilizaliwa na kichaa, nikazaa na ceo) Sehemu ya 10 Akaniangalia kisha akacheka nikajikuta naanza kulia, “ unalia nini sasa? Ikabidi nay eye aniulize… “yaan unanicheka si ndio, unanicheka kwa sababu najua unania mbaya na mimi, unajua kabisa unataka kwenda kunifanyia mambo ya ajabu ndio maana unaniambia nikapande ndege, alafu unanicheka, kama unataka kuniua wewe niuwe tu kawaida kuliko kwenda kunipa kifo cha mateso cha kunitupa nikiwa kwneye ndege, nikaanza kulalamika… Mackmill akanisogelea kisha akanikumbatia na kusema “ mke wangu kipenzi, nakupenda sana unajua, kuliko nikudhuru wewe au mtoto wetu ni bora nijidhuru mimi, siwez kukuingiza
No comments:
Post a Comment