
NILIMDANGANYA MKE WANGU NIMEFUKUZWA KAZI KUMBE NNALIKIZO MIEZI 3 SEHEMU YA 18 mwisho Kabla mke wangu hajajibu jamaa akampiga tena Kofi la uso ,,,aisee,,, Hapo nikajikuta mapigo ya moyo yapo kasi sana nikashuka kwenye gari nikajikuta namkunja yule jamaa na kuanza kupigana nae huku namwambia kwanini unampiga mke wangu , nilipandwa hasira tu , afande akaja kutuamua ,mke wangu ye alikuwa analia tu , yule jamaa aliondoka huku akitoa maneno machafu na kusema atakuja tena kudai mtoto wake , Nilimwangalia mke wangu kwa huruma sana nikawa najisemea mimi ndio nnamakosa sikupaswa kumdanganya mke wangu , maana haya yote yametokea kwa
No comments:
Post a Comment