SIMULIZI: JITU LA MSITUNI MTUNZI: MAULID KIFUMBE (MR ROY) WHATSP: 0786978618 KITU KIPYAA Sehemu ya Kwanza

SIMULIZI: JITU LA MSITUNI   MTUNZI: MAULID KIFUMBE (MR ROY) WHATSP: 0786978618  KITU KIPYAA  Sehemu ya Kwanza

SIMULIZI: JITU LA MSITUNI MTUNZI: MAULID KIFUMBE (MR ROY) WHATSP: 0786978618 KITU KIPYAA Sehemu ya Kwanza Msitu wa Giza ulikuwa maarufu kwa jina lake kutokana na giza nene lililotanda hata mchana wa jua kali. Ulikuwa msitu uliopo kaskazini mwa kijiji cha Mwibanza, eneo lililojaa miti mikubwa na wanyama wa kila aina. Lakini kilichofanya msitu huu utishe ni hadithi za wenyeji kuhusu kiumbe kikubwa, chenye manywele mengi, makucha marefu, na sura ya kutisha yenye macho mekundu kama makaa ya moto. Wenyeji walikijua kama Jitu la Msituni, na jina lake halisi lilijulikana kuwa ni Mkaboko. Jitu hili lilisemekana kutokea mbali, kwenye milima

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...