
SHANGA TISA EP: 09 MTUNZI: ASHROUPH K.A MALENGA MWENYE KALAMU ILIYOSAHAULIKA NYIKANI. FULL STORY 1000/= LIPIA HAPA: 0675536572 KADRA na Chausiku, walifika vyema nyumbani. Ingawa Kadra alizomewa sana njiani na vijana wa bodaboda na bajaji. Wakimshangaa kwa ushamba wake wakutojua namna gani ya kupambania kombe. Kwani taarifa za yeye kupewa show kali na mumewe mkapa nyuchi zao zikang'ang'aniana, zilisambaa kote mtaa mzima. Hivyo, walipo kuketi ndani mara baada tu ya kufika, Kadra aliamua kuuvuunja ukimya wake wote kwa Chausiku. Chausiku binti mcharuko mwenye nyota zake za umalaya hapo Tanga mjini. Tena akiishikilia rekodi nzito ya kukalia vyupa vinene kwenye usiku
No comments:
Post a Comment