
SIMPENDI MFANYAKAZI WETU ?EPISODE 1 ? ?Kwa majina naitwa happy adui yangu mkubwa kwenye maisha yangu ni mtu maskini mimi natoka katika familiya ya kitajili sana na nawachukia chukia sana maskini sababu sijuwi nawaonaje ila siwapendi tu nikiwaona naona kama nmeona kinyesi hivi... tena kibaya zaidi nilikuwa nawaona tu mitaani lakini mama akaamua amlete maskini nyumbani kabisa jina lake ni Rashid ametokea ndani ndani uko sijuwi ni mwisho wa upepo lakini nilitokea kumchukia sana haiwezekani nyumba ya matajiri anakuja maskini mmoja ..... ? ? ? HISTORIA YA RASHID ?????????????????????? ?Maisha ya Rashidi hayakuwa rahisi hata kidogo. Alizaliwa katika familia maskini,
No comments:
Post a Comment