KITUMBUA CHA PACHA EPISODE 6

KITUMBUA CHA PACHA EPISODE 6

KITUMBUA CHA PACHA EPISODE 6 ?Basi baada ya kusikia sautu ya dada yake akimuita alimwambia mlinzi ?" tutafanyaje tutafumwa leo" ?" madam mi hata sielewi yaani" ?" baki humu humu " alikuwa akisema huku akipandisha kanga yake na kuivaa tayari kwa ajili ya kutoka alijifanya kama alikuwa anasafisha stooo ?Alitoka " kheee dada , kumbe wahenga sio waongo" ?"kwa nini mdogo wangu" ?"unauliza vumbi stooo na kweli stoo kuna vumbi kama hakai mtu hivi " ?"si unjua dada yako nina mambo mengi" ?" usafi ni muhimu mama ,mwanmke usafi" ?" khee makubwa umemuona wapiNZUNGU" ?" unamaanisha mlinzi au " ?"ndiyo

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...