
SHANGA TISA EP: 19 MTUNZI: ASHROUPH K.A {TAYLOR PERRY WA TZ} KADRA na Chausiku, walifika kwa macheni hapo Tanga mjini. Wakaingia kwenye jengo moha maalumu lililokuwa limeandaliwa kwa ajili ya maonyesho ya siri siku hiyo. Maonyesho ya wateja VIP, wateja waliokuja tu kuangalia na kuzikagua uchi za mabinti moto moto wa kipwani. Yani ili kuwa ni show bab-kubwa, maana hata kiingilio chake kiliwashinda makabwela walio wengi. Hivyo bhasi, watu waliomudu kulipia, wengi wao walikuwa ni wahindi, wazungu na waarabu. Ngozi nyeusi zilizoingia humo ndani zilikuwa ni chache sana! "Kadra, leo jikaze. Kuna kibunda cha maana hapa!". "Sawa Chausiku, nakuahidi utaliona
No comments:
Post a Comment