
SHANGA TISA EP: 18 MTUNZI: ASHROUPH K.A {TAYLOR PERRY WA TZ} "Usione kama na kutukana mama yangu, tatizo una boa sana, haupendi kuushughulisha ubongo wako hata chembe. Ndo maana toka umenizaa mpaka leo, haujawahi kunifunza njia yoyote ile ya halali ya kuingiza pesa. Zaidi ya hii ya hii moja kunikuwadia!". "Mwanagu, hata mimi sio kama ninapenda. Ni hizi shida na marejesho vikoba ya kusha damu!". "Ndo ujiongeze sasa! Muulize huyo Pengo unayempenda kuwa, amejuaje kuwa jana niliingizwa Lodge na wahuni. Na akutajia majina yao. Laa sivyo namfungulia kesho ya udhalilishaji mahakamani!". "Bahati, hebu tusifikie huko! Wewe shukuru mungu umepona, hayo
No comments:
Post a Comment