SHANGA TISA EP: 17

SHANGA TISA  EP: 17

SHANGA TISA EP: 17 MTUNZI: ASHROUPH K.A {TAYLOR PERRY WA TZ} BAADAYA kutoka humo Lodge, Pengo alipiga simu moja kwa moja nyumbani kwa mama mzazi wa Bahati, akamweleza kila kitu kuwa, mwanaye yupo Lodge kuna wahuni wamemzimisha. Mara baada ya kumpelekea moto kwa mtindo wa mtungo! "Pengo, acha masihara yako bhana. Ujue nipo tu kitandani na kusubiria!". "Wewe endelea kusubiria embe chini ya mnazi, mimi huko leo siji ng'oo! nipo kwangu na mke wangu wa ndoa. Fanya hima ukamnusuru kwanza mwanao, utajua mwenyewe, chelewa chelewa afe!". Pengo alikata simu, kisha akatafuta kibanda cha chips usiku huo hapo Tanga mjini. Akanunua

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...