SHANGA TISA EP: 10 ASHROUPH K.A

SHANGA TISA  EP: 10 ASHROUPH K.A

SHANGA TISA EP: 10 ASHROUPH K.A KADRA alimngoje sana Pengo hapo nyumbani kwake mpaka bhasi, wala asijue mwenzie kenda viwanja anapokoswa roho kila siku. **** Kumbe hatimaye hayawi hayawi mwisho huwa, Pengo aliingia nyumbani kwa akina Bahati akiwa amevalia zake msuli kama kawaida! Huku upande wa juu akiwa amevaa tisheti ile ile ya jana. Tsheti ya Arsenal! Na kizibao cheusi cha kaunda suti! Kichwani hakuwa amevalia kofia yake ile ya kufuma kwa uzi, bali leo hii alionekana na kapero nyekundu iliyofanana zaid na rangi ya tsheti. "Amani ipo kweli humu ndani?". Pengo alisalim. "Itakosekanaje kwa mfano? wakati hatimaye baba mwenye

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...