AAH SHEMEJI ... ACHAAA ! SEHEMU YA KWANZA (1__2 )

AAH SHEMEJI ... ACHAAA ! SEHEMU YA KWANZA (1__2 )

AAH SHEMEJI ... ACHAAA ! SEHEMU YA KWANZA (1__2 ) AISHA alijiona kama mtu mwenye bahati kwa kutongozwa na shemejiye. Aliwaza endapo akimkubalia au asimkubalie kwa kuona kuwa ni shemeji yake. Alifikiria sana juu ya utajiri wa shemeji yake na hali aliyonayo yeye . “Endapo nikikubali dada akigundua itakuwaje?” aah!! Lakini si amenitongoza mwenyewe,siwezi kupiga teke fuko la pesa… Potelea mbali.” Siku iliyofuata Aisha alikutana na rafiki yake aliyeitwa Anita. Aisha alimsimulia Anita kuhusu shemejiye. “Shoga basi ngoja nikupe mkanda”. “Hapo ndipo ninapokupendea tukikutana baraza huchangamka kwa stori, haya shoga hebu nipe huo mkanda”. “Jana usiku wakati tunakula,dada aliwahi kushiba

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...