
SHANGA TISA. EP: 08 MTUNZI: ASHROUPH K.A HAUWEZI kuamini, Bahati alinuniana siku hiyo na mama yake, akagoma katu katu kupewa namba hizo za simu za Pengo na mama yake. "Sinimesema sitaki? nitamuomba mwenyewe, kwani huwa sianakuja hapa kila siku kulewa?". Alisema Bahati, japo kwa jazba???? "Bahati, kwani kuna utofauti gani hizo namba nikikugea mimi na akikugea Pengo mwenyewe!?". Mama alimjibu. "Nimesema kaa na namba zako, sizihitaji tena!". Bahati aliinuka juu nakutoka nnje kwa hasira. Huku nyuma akimwacha mama yake akiwa anacheka sana kupita kiasi!???? "Hahaha,???? huyu mtoto naona anataka kupita alipo patoka. Hajui kuwa Pengo ndo usingizi wangu mie!? Mwana
No comments:
Post a Comment