
SHANGA TISA EP 07 FUNDI: ASHROUPH K.A {Taylor Perry wa Tz} Watu walijaa nje ya nyumba ya Pengo, wakiulizana nini hicho kimetokea, kwani kwa kelele alizopiga Kadra ziliashiria kabisa tatizo zito kupindukia, Pengina hata mtu angalidhanishia ni msiba! Au kipigo cha mbwa koko! "Jamanieee, vunjeni mlango tuingie, haiwezekani dakika zaidi ya tano zinapita kizembe na bado tupo hapa, mtu anauliwa huko ndani!?". "Ndio, tuingieni tukaokoe! Wanaume wenye misuli yao mine wakaukanyaga mlango wa nyumba ya Pengo kama karatasi. Kitasa kikajipachua, wananchi wakazama ndani wakiwa na jazba! Moja kwa moja hadi chumbani kwa Pengo. Daa! Ile wanaingia tu chumbani, walipokelewa na
No comments:
Post a Comment