
RUNGU LA KIPOFU 23 MWISHOO. ENDELEA............ Kwanza alimpiga nusu amuue na Mwajuma alikiri kweli amete..mbea na Juma zaidi ya mara kadhaa tena akisema anampenda pasipo kuogopa, Mama Mwajuma alihisi kuchanganyikiwa baada ya binti yake kusema anampenda mtoto wa kaka yake. Ru..ngu la Kipofu lilimvuluga Mwajuma na alizidi kumtamkia mama yake kuwa anampenda Juma na Mama Mwajuma aliona kuna hatari ya kumuua binti yake kama tu atatumia hasira. "Wewe na yeye hamuwezi kuwa pamoja mwanangu nielewe tafadhali, nielewe mimi mama yako!" "Nampenda Kaka Juma, nampenda mama!" Aliongea huku akilia kabisa tena alitishia mpaka kujiua na mbaya zaidi alimtamka kuwa anahisi ana
No comments:
Post a Comment