Marijani Rajabu, akirekebisha mambo studio

Marijani Rajabu, akirekebisha mambo studio

UZI: Pichani ni Marijani Rajabu, akirekebisha mambo studio. Huyu ni mmoja wa wanamuziki mahiri nchini aliyezaliwa mtaa wa Somali, Kariakoo, jijini Dar mwaka 1954 na alilelewa kwa misingi ya dini ya Kiislamu. Alipokuwa Tambaza Secondary school alikuwa akicheza mpira nafasi ya ugolikipa, na alikuwa anadaka sana. Lakini alipenda sana muziki, hasa wa Tabu Ley wa Kongo na Sorry Kandia wa Guinea. Akaanza safari yake ya muziki akiwa na umri wa miaka 18 na STC Jazz Band, chini ya Raphael Sabuni, na kufanikiwa kurekodi nyimbo kadhaa nchini Kenya kupitia lebo ya Phillips. Mwaka 1972, alijiunga na Safari Trippers, ambapo kipaji chake

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...