
RUNGU LA KIPOFU 17. ENDELEA........... Nyumbani kwa Mama Mwajuma mda huo ulikuwa ni mda wa Mwajuma kutoka shule na alishangaa alipofika nyumbani kwao kutomuona Juma, kwanza alimfata Latifa na kumkuta akiwa kwenye kazi za ndani. "Juma yupo wapi!?" "Kahama!" "Kahama kivipi!?" "Amechukuliwa na Doctor ili aishi naye karibu kwa ajili ya kumtibu ugonjwa wake wa macho!" Mwajuma aliweka mikono yake kichwani kama mtu aliyepatwa na taarifa ya msiba, maana alikuwa na h...amu na r...ungu la Kipofu na alilikumbuka haswa!. "Sasa itakuwaje Latifa kuhusu sisi!?" "Mimi au wewe?, sasa ivi huyo ni bwana wako tu sio wangu, tena uniache niko bize
No comments:
Post a Comment