RUNGU LA KIPOFU 16.

RUNGU LA KIPOFU 16.

RUNGU LA KIPOFU 16. ENDELEA........... Tedy akiwa na shoga yake Queen walikuwa kwenye majadiliano mazito, walilipitisha wazo la mmoja wao kuolewa na Kipofu lakini linapokuja swala la kunya...nduana kila mtu anakuwa na haki ya kukunwa na kipofu na Tedy aliona mwenzake ndiye anayefaa kuolewa na Kipofu kwakuwa anatambulika, Queen alikubali kwani ndiyo ulikuwa mpango wake na siku iliyofata aliamka asubuhi na kwenda kuonana na Juma lakini hakufanikiwa kumkuta. Huku Juma hakuwa peke yake, pembeni yake kulikuwa na mama yake mdogo ambaye ni Mama Mwajuma wakimsubiri Doctor wa Macho, baada ya mda Doctor alifika, kwanza alimtazama Juma kwa mata..manio pasipo Mama

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...