
RUNGU LA KIPOFU 15. ENDELEA........ Siku iliyofatia Queen alienda kwenye nyumba ya Mama Mwajuma na siku hiyo Mwajuma hakuwepo kwani alikuwa shuleni, alimchukua Juma na kwenda naye mpaka kwenye getho lao na kumkuta mwenzake Tedy aliyefyumu kuona akija tena Kipofu. Tedy alitoka nje na kukaa na baada ya mda Queen alitoka nje na kumpita pasipo kuongea ni sehemu gani anayoenda na Tedy baada ya kuona mwenzake kaondoka alirudi nyumbani haraka na macho yalimtoka baada ya kuona r....ungu la Kipofu limetulia kwenye su...ruali. Kipofu yeye alijua ni Queen aliyekuwa mle chumbani. "Umesharudi tayari mara hii tu!?" "Mmmh!" "Queen!" Tedy hakuitika zaidi
No comments:
Post a Comment