
PENZI LA PACHA ?EPISODE 3 ?Rashid alishtuka sana kutoka usingizini alipokuwa kasinzia sebuleni " hapana mke wangu " alipiga kelele kwa sauti sana huku jasho likimtoka kama maji ya bomba. ?" mume wangu kunani mbona wapiga kelele" ?"nmeota ndoto mbaya sana jana" ?Nasma akadakia " umeota ndoto gani shemu" ?Ikabidi adanganye tu " nimeota kagongwa na pikipiki " ?"mmmmh usijali bhana ni ndoto tu"alisema Nasra ... Kisha akamfuta jasho na kurudi zake jikoni kumalizia na kuwaacha pacha wake na mume wake sebuleni ?" umesema ulikua unasoma wapi" ?" nilikuwa USA shemu darling" ?" ooooh hongera Nasra " ?"Asante shemu tena
No comments:
Post a Comment